Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha Mhe. Fredrick Lowassa amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani Monduli na hivyo kuwaondoa wananchi wengi kwenye adha ya kusafiri umbali mrefu na kutumia muda mrefu kutafuta huduma ya maji.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizindua mradi wa maji Kitongoji cha Imorijo leo Machi 18, 2025, hafla iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa Wiki ya maji mkoa wa Arusha, Mhe. Lowassa amekiri kuwa kuna maeneo wananchi wake walikuwa hawajawahi kuona huduma ya maji ya bomba ikiwemo Nanja na Sepeko lakini kupitia mapenzi makubwa ya Rais Samia kwa wananchi wake, Vijiji hivyo kwasasa vinafaidika na utawala wa Rais Samia kupitia maji safi, salama na ya uhakika.