Mpendazoe ni jembe, napenda sana awepo bungeni
Kuwaacha wana KISHAPU bila muwakilishi na kukimbilia CCJ, kisha CHADEMA ni usaliti wa hali ya juu!
Kuwaacha wana KISHAPU bila muwakilishi na kukimbilia CCJ, kisha CHADEMA ni usaliti wa hali ya juu!
Mkuu nilikuwa nakuheshimu sana, ila sasa nimethibitisha pasipo shaka kuwa na wewe sio mzima kiakili!Kwani sheria ya nchi inakataza mtu kuhama chama?
Sioni usaliti hapo kwa mtu kutimiza haki yake kikatiba...
Kakimbia Ukonga?Kwa mujimu wa ukurasa wake wa Instagram Fred Mpendazoe ametangaza kurudisha majeshi huko Kishapu.Hivyo atapeperusha bendera ya CHADEMA chini ya UKAWA.
Ongera = Hongeraongera yake
Mkuu nilikuwa nakuheshimu sana, ila sasa nimethibitisha pasipo shaka kuwa na wewe sio mzima kiakili!
Sasa kumbe mnafahamu kuhama chama sio sio kosa katika sheria za nchi? kwanini hukuwahi kukemea vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kumtukana Zitto kisa tu alihama CHADEMA? Majina kama YUDA, MSALITI, amenunuliwa na CCM na mengineyo! huwa yanatajwa sana linapotamkwa jina la ZITTO.
Sasa mbona Zitto na kina Mwigamba mnawashambulia.
Mpendazoe shujaa wa ukweli sio akina Sita,anarudi Bungeni mwaka huu
Weweee! Hebu fikiri kidogo kabla ya kuongea usiwe kama robot au zombie. Zitto hakuhama CHADEMA Bali alifukuzwa.Mkuu nilikuwa nakuheshimu sana, ila sasa nimethibitisha pasipo shaka kuwa na wewe sio mzima kiakili!
Sasa kumbe mnafahamu kuhama chama sio sio kosa katika sheria za nchi? kwanini hukuwahi kukemea vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kumtukana Zitto kisa tu alihama CHADEMA? Majina kama YUDA, MSALITI, amenunuliwa na CCM na mengineyo! huwa yanatajwa sana linapotamkwa jina la ZITTO.
Sasa mbona Zitto na kina Mwigamba mnawashambulia.
umeandika kikakamavu sana !Weweee! Hebu fikiri kidogo kabla ya kuongea usiwe kama robot au zombie. Zitto hakuhama CHADEMA Bali alifukuzwa.
Teeeh,teeeh,teeeeh,eti gamba anaisikitikia cdm?
Kwa mujimu wa ukurasa wake wa Instagram Fred Mpendazoe ametangaza kurudisha majeshi huko Kishapu.Hivyo atapeperusha bendera ya CHADEMA chini ya UKAWA.
Acha ujinga,Zitto AMEFUKUZWA na sio kuhama.