FRANCE v/s PORTUGAL European Final (Bet, who wins the title?)

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,418
Nina 1m hapa inaniwasha nataka niitoe kwa mtindo wa kubet

Mimi naamin Portugal anabeba ubingwa leo hivyo aliyetayali kupinga kwa kubet basi aje na 1m yake tuweke mzigo mezani atakayeibuka kidedea ajibebee

Kama uko interested njoo dm tubet ila uwe dar ili iwe rahis kuonana na hata mpira tuangalizie pamoja na inaweza kuwa pale Catalunya

Karibu
 
Sasa hiyo ni bure ama anainunua kwa milioni moja yake? Nenda tu mkeka bet au m-bet kaweke mzigo wako wote alafu usubirie.
 
Sasa hiyo ni bure ama anainunua kwa milioni moja yake? Nenda tu mkeka bet au m-bet kaweke mzigo wako wote alafu usubirie.
Sichezagi na wahindi au makampuni ya kubet ndg ikitokea nimebet basi nafanya na mtu anayekuwa amenibishia na akawa interested
 
Umesema m1 ya bure,then unataka mtu mwingine aweke m yake,ungesema m1 ya bure unabet portugal anashinda na anaebisha aweke jiwe france ikishinda anachukua m na iwapo portugal ikishinda mkuu unachukua jiwe
 
Mkuu baba yenu usiogope mwambie Nifah aweke jiwe au ajidhamini yeye mwenyewe ww uweke hiyo M, Portugal bingwa hii itakuwa kama final ya euro 2004 wkt ureno akiwa mwenyej final akakutana na greece hakuna aliyempa nafas ugiriki hatimae akabeba ndoo sasa leo nyota imewaka kwa PORTUGAL.
 
Hahahaaaa....
Namsubiri.
 
Umesema m1 ya bure,then unataka mtu mwingine aweke m yake,ungesema m1 ya bure unabet portugal anashinda na anaebisha aweke jiwe france ikishinda anachukua m na iwapo portugal ikishinda mkuu unachukua jiwe
Mwanangu hayo mambo ya kuweka jiwe tuliyafanya tukiwa chuo kama unaiamin France mbona pesa hii ni ya kwako
 
we unataka mtu aje na M hapo Catalunya umkabe umuibie...ole wako nakuja na maninja kutoka China
 
Miaka kumi sasa France hajafungwa nao, nitafurahi ikiwa hivyo leo. My Ronaldo...
 
Back
Top Bottom