A man walks in a flooded street near the Nive river in southwestern France following heavy rains. <meta content="Gaizka Iroz, AFP/Getty Images" itemprop="copyrightHolder">
Kweli mkuu ,Dar wakati wa mafuriko watu ndio wanatapisha vyoo vyao eti kuepuka gharama ya kukodi magari ya kunyonya!! Huu ni ujinga wa hali ya juu kwani ndio wanajienezea maradhi ya mlipuko ambayo gharama yake kwa afya za wale wanaotapisha ni kubwa kuliko wangekodisha magari ya kunyonya!!