Frame ya kisasa inapangishwa, ipo kijitonyama ,barabara ya kajenge karibu na sayansi, kodi ni laki moja na nusu kwa mwezi (150,000/= × 6 ),
Kwa maelezo zaidi piga namba 0714264484
Biashara nyingi zinakubali kwa sababu frame ipo kwenye barabara ya lami (pamechangamka sana), unaweza weka tigopesa/ mitungi ya gas/ saloon/ duka la nguo, saluni na kadhalika,, je, wewe ni dalali au unataka kupanga?
Frame ya kisasa inapangishwa, ipo kijitonyama ,barabara ya kajenge karibu na sayansi, kodi ni laki moja na nusu kwa mwezi (150,000/= × 6 ),
Kwa maelezo zaidi piga namba 0714264484
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.