Ikumbilo JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 455 Reaction score 65 Jul 13, 2012 #1 Natafuta frame kwa ajili ya kufanya biashara Jijini Dar,mwenye ufahamu naomba anisaidie kwa kuni PM. Asanteni.
Natafuta frame kwa ajili ya kufanya biashara Jijini Dar,mwenye ufahamu naomba anisaidie kwa kuni PM. Asanteni.
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 216 Jul 15, 2012 #2 unataka maeneo gani? mimi ninazo kinondoni A barabara ya kwenda posta ipo ya laki 350, na 450, pia ipo ya laki 4, na 150. pia ninazo mikocheni kwa mwalimu laki 450 . mimi ni commission agent 0657 145555 au 0778 625 039. Tom
unataka maeneo gani? mimi ninazo kinondoni A barabara ya kwenda posta ipo ya laki 350, na 450, pia ipo ya laki 4, na 150. pia ninazo mikocheni kwa mwalimu laki 450 . mimi ni commission agent 0657 145555 au 0778 625 039. Tom