Ivenosa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 210 Reaction score 80 May 27, 2015 #1 frame inapangishwa kariakoo mtaa wa likoma na muhonda ina ukubwa wa fut saba upana na urefu ni fut kumi juu ina store iko two in one bei laki 5 inatakiwa kodi ya miez 6 ila hata minne unaweza kulipa mawasiliano zaidi nipm
frame inapangishwa kariakoo mtaa wa likoma na muhonda ina ukubwa wa fut saba upana na urefu ni fut kumi juu ina store iko two in one bei laki 5 inatakiwa kodi ya miez 6 ila hata minne unaweza kulipa mawasiliano zaidi nipm
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,800 May 27, 2015 #3 Yes, nimekukubali, wewe huna zugazuga sijui PM sijui hiki wala kile, detailed and to the point.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,872 Reaction score 10,094 May 27, 2015 #4 Hapo ni sawa na 2 mita kwa 3 mita. Sasa unaposema two in one,hembu tuweke wazi hapo
Ivenosa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 210 Reaction score 80 May 27, 2015 Thread starter #5 Zanzibar Spices said: Hapo ni sawa na 2 mita kwa 3 mita. Sasa unaposema two in one,hembu tuweke wazi hapo Click to expand... maana yake kwa ndani kuna store unapanda na ngazi store iko juu humo humo
Zanzibar Spices said: Hapo ni sawa na 2 mita kwa 3 mita. Sasa unaposema two in one,hembu tuweke wazi hapo Click to expand... maana yake kwa ndani kuna store unapanda na ngazi store iko juu humo humo
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,250 Reaction score 2,162 May 29, 2015 #6 Me nataka fremu nzuri kwa sehemu yenye mchanganyiko wa watu kama ipo au una deal na frames tafadhali nijulishe...
Me nataka fremu nzuri kwa sehemu yenye mchanganyiko wa watu kama ipo au una deal na frames tafadhali nijulishe...
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,976 May 29, 2015 #7 Kwahyo kkoo yenu annual rent ni 6m???
Ivenosa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 210 Reaction score 80 May 29, 2015 Thread starter #8 Papizo said: Me nataka fremu nzuri kwa sehemu yenye mchanganyiko wa watu kama ipo au una deal na frames tafadhali nijulishe... Click to expand... ipo njoo pm kwa maelekezo zaidi
Papizo said: Me nataka fremu nzuri kwa sehemu yenye mchanganyiko wa watu kama ipo au una deal na frames tafadhali nijulishe... Click to expand... ipo njoo pm kwa maelekezo zaidi
Ivenosa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 210 Reaction score 80 May 29, 2015 Thread starter #9 bukoba boy said: Kwahyo kkoo yenu annual rent ni 6m??? Click to expand... minimum.ni miezi sita unaweza kulipa ya mwaka na zaidi
bukoba boy said: Kwahyo kkoo yenu annual rent ni 6m??? Click to expand... minimum.ni miezi sita unaweza kulipa ya mwaka na zaidi