Vipi kuhusu gharama ya kulala hapo mkuu
farkhina umeiona hii
Nimeiona safi sana
Haya nasubiri offer
Mmmmh mwenzangu mie uwezo huo sina
USD $1000 per night. Watu Wawili, King bed. Twin Bed ni $1150.
Bei ni pamoja na chakula cha asubuhi, mchana na jioni, pombe na wi-fi.
Tokyo40 kuna ile alifikia bill gates 2011 huko znz, ndio IPI vile??
Hizo namba ni sahihi au umekosea ukaongezea sifuri au??
USD 1,000 = zaidi ya TZS 2,000,000 kwa sasa. Ni kweli? au ulimaanisha USE 100??
Hizo namba ni sahihi au umekosea ukaongezea sifuri au??
USD 1,000 = zaidi ya TZS 2,000,000 kwa sasa. Ni kweli? au ulimaanisha USD 100??