vita inaweza kuwa kubwa kutokana na kuwa saudi arabia is he heart of islam,,,,na wasunni wako zaidi ya bilioni moja duniani,,,,iran ni taifa la mashia na nchi kubwa ya kishia duniani ni moja tu na ndo iran.Sasa iran akishambulia saudi arabia tu basi atakuwa amepigana na uislam kwa ujumla na atapigwa kutokea pande zote,,,,,,nchi zenye washia kama yemen,lebanon,syria na iraq bado washia hao ni kundi dogo sana na wanaweza hata kudiliwa na wasunni wa huko huko na bado hujahusisha wasunni kutoka pakistani,misri,sudani,somalia,afghanistan,kuwait,jordan,u.a.e, na nchi nyingine nyingi sana.