Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,771
- 18,635
Waacheni jamani wanalima maua Chai na kahawa kuwalisha wazungu.
Waacheni jamani wanalima maua Chai na kahawa kuwalisha wazungu.
Kuna nchi kame zaidi yenu lakinj hakuna upumbavu kama huoYeye anajua 'facing starvation' kwa kiswahili ndo inamaanisha wanakufa. Hajui kiangazi ndo kimeleta haya yote, kama mvua ingenyesha ungeibuka na zile nyuzi zake za sijui alshabaab wataua wakenya wote. Kuna watz wana roho mbaya sana.
Sasa ukame kwa jirani ndo kitu cha kujipiga kifua nacho? Eti semeni muuziwe? Hiyo ndo biashara ya sampuli gani? Sijui huu usingizi wenu utafikia kikomo lini. I give up! Taarifa yenyewe imetolewa na Red Cross, hela zikikusanywa, mahindi yatapatikana tu, hata kama yatatoka Mexico.Halafu utasikia wanatamba kuwa wako level nyingine huku hata uhakika wa kula kande wengi wao hawana, Mungu awasaidie waathirika wa janga hilo, acheni kujipa sifa za kijinga enyi wakenya, Tanzania tuna surplus food, semeni muuziwe.
Si uende ukakojoe huko Turkana basi! Angalau mahindi yakue.Kuna nchi kame zaidi yenu lakinj hakuna upumbavu kama huo
nilini Turkana wakasherehekea kupata chskula chakutosha ktk maisha yao!!
Kila mwaka kenya njaa njaa njaa
The fact is, Kenya can do better than this, Kenyans deserve better life than this. "NZI AKIACHA UJINGA, ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI KAMA NYUKI". Wakenya wakiacha kupenda sifa za kijinga, wanaweza kuzalisha chakula cha kutosha na ziada kuuza nje kama Tanzania. Hizi nguvu nyingi zinazotumiwa na wakenya katika miradi ya kijinga isiyokuwa na faida kubwa kwa taifa zaidi ya kujipatia sifa za kijinga, kama zingeelekezwa katika kilimo cha kisasa na umwagiliaji, hayo mambo ya ukame, jangwa na ardhi ndogo wala tusingeyasikia, hivi Kenya ina jangwa kuliko Israel?, Kenya ina ardhi ndogo kuliko Israel?.Yeye anajua 'facing starvation' kwa kiswahili ndo inamaanisha wanakufa. Hajui kiangazi ndo kimeleta haya yote, kama mvua ingenyesha ungeibuka na zile nyuzi zake za sijui alshabaab wataua wakenya wote. Kuna watz wana roho mbaya sana.
Kama bado watu wenu wanataka kufa njaa basi hata uchumi bado ni mbovu sanaSasa ukame kwa jirani ndo kitu cha kujipiga kifua nacho? Eti semeni muuziwe? Hiyo ndo biashara ya sampuli gani? Sijui huu usingizi wenu utafikia kikomo lini. I give up! Taarifa yenyewe imetolewa na Red Cross, hela zikikusanywa, mahindi yatapatikana tu, hata kama yatatoka Mexico.
Ndo ulifundishwa kuwa mkojo hustawisha mimea? Kaazi kwelikweliSi uende ukakojoe huko Turkana basi! Angalau mahindi yakue.
si mliyakataa mahindi ya Tanzania kwamba hayafai kwa matumizi ya binadamu au umeshasahau?Mtanzania mwenzako anaulizia fursa za kibiashara, alafu we unamjibu kwa pumba. Anayemzuia asafirishe 'mahindi yake' hadi kwenye soko za Kenya ni wakenya? Jione!
nilijua mmeacha kununua.maana mlisema hayana hadhi kuliwa na wakenya.NMG 2,180
KENYA IMPORTS MORE THAN $6.6 MILLION WORTH OF MAIZE FROM TANZANIA
Acha blah blah, ukame, ugaidi, ufisadi, vurugu za kila mara, uchaguzi ukifika, ndo vinaturudisha nyuma kama nchi ya Kenya. Ila uchumi wetu bado upo imara zaidi ya nchi zote za E.Afica. Vijisababu vya Tanzania ni vipi?The fact is, Kenya can do better than this, Kenyans deserve better life than this. "NZI AKIACHA UJINGA, ANAWEZA KUTENGENEZA ASALI KAMA NYUKI". Wakenya wakiacha kupenda sifa za kijinga, wanaweza kuzalisha chakula cha kutosha na ziada kuuza nje kama Tanzania. Hizi nguvu nyingi zinazotumiwa na wakenya katika miradi ya kijinga isiyokuwa na faida kubwa kwa taifa zaidi ya kujipatia sifa za kijinga, kama zingeelekezwa katika kilimo cha kisasa na umwagiliaji
si mliyakataa mahindi ya Tanzania kwamba hayafai kwa matumizi ya binadamu au umeshasahau?
Uchumi gani upo imara kama hamna chakula, hamna ajira, mna slums nyingi kuliko nchi yoyote Afrika, umasikini unaongezeka, madeni yanaongezeka, ukuaji wa uchumi unaporomoka, unajua maana ya uchumi imara?. Ethiopia,Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya, huu ndiyo mpangilio wa nchi kufuatana na uimara wa uchumi. Kama hujui maana ya uchumi imara uliza utaambiawa, strong and stable economy vs Bigger economy.Acha blah blah, ukame, ugaidi, ufisadi, vurugu za kila mara, uchaguzi ukifika, ndo vinaturudisha nyuma kama nchi ya Kenya. Ila uchumi wetu bado upo imara zaidi ya nchi zote za E.Afica. Vijisababu vya Tanzania ni vipi?
Hiyo ndo ilikuwa point yangu kuu. Lakini naona imekupita kwa mbali sana.Ndo ulifundishwa kuwa mkojo hustawisha mimea? Kaazi kwelikweli
Hahaha we ishia!Uchumi gani upo imara kama hamna chakula, hamna ajira, mna slums nyingi kuliko nchi yoyote Afrika, umasikini unaongezeka, madeni yanaongezeka, ukuaji wa uchumi unaporomoka, unajua maana ya uchumi imara?. Ethiopia,Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya, huu ndiyo mpangil
Tuna soko kubwa sana la vyakula vyetu katika nchi za SADC, kumbuka kwamba Tanzania tunalisha nchi tisa kusini mwa Afrika, Kenya ni soko dogo sana. Mikoa inayozalisha vyakula kwa wingi Tanzania ipo kusini, kwahiyo ni rahisi kufanya biashara na nchi za kusini kuliko kaskazini, hatulitegemei sana soko la kazkazini.Nyinyi ndo mlisema hamtauza mahindi, eti mnatengeneza viwanda kwanza, ili muuze unga wa mahindi. Viwanda bado, sasa mahindi yakiharibika ndo mnataka Kenya iwe dampo? Wakati jirani zetu Uganda na pia Zambia, S.A na Mexico wana mahindi yao pia, ambayo yapo freshi na wanayauza kwa bei nafuu? Uswahili utawaua!
Mtu mjinga pekee ambaye atafurahia pesa iliyopo ambayo haizunguki wala kuzalisha. Mwenye mtaji mdogo lakini anafanya biashara nzuri na kutengeneza faida kubwa vs mwenye mtaji mkubwa lakini hatengenezi faida na biashara inazidi kuporomoka siku hadi sikuHiyo ndo ilikuwa point yangu kuu. Lakini naona imekupita kwa mbali sana. Hahaha we ishia!
Eti mnalisha SADC? Maskini wa kutupwa kama Tz, analisha nchi tajiri zaidi yake. Mbona hizi hesabu ni kama zile za 1+1=11?Tuna soko kubwa sana la vyakula vyetu katika nchi za SADC, kumbuka kwamba Tanzania tunalisha nchi tisa kusini mwa Afrika, Kenya ni soko dogo sana. Mikoa inayozalisha vyakula kwa wingi Tanzania ipo kusini, kwahiyo ni rahisi kufanya biashara na nchi za kusini kuliko kaskazini, hatulitegemei sana soko la kazkazini.
Ndugu yangu kunywaga tumaziwa. Hueleweki hata kidogo!Mtu mjinga pekee ambaye atafurahia pesa iliyopo ambayo haizunguki wala kuzalisha. Mwenye mtaji mdogo lakini anafanya biashara nzuri na kutengeneza faida kubwa vs mwenye mtaji mkubwa lakini hatengenezi faida na biashara inazidi kuporomoka siku hadi siku
Vipi inawezekana kuleta unga Kenya instead of mahindi?Mtanzania mwenzako anaulizia fursa za kibiashara, alafu we unamjibu kwa pumba. Anayemzuia asafirishe 'mahindi yake' hadi kwenye soko za Kenya ni wakenya? Jione!