siraji ahmada
Member
- Aug 3, 2016
- 37
- 3
Ni kwel foundation course wanaendelea na degree kwa open university of Tanzania naomba jibu wadau
Ni kwa waliomaliza mwaka huu tu au itakua endelevu?Yes wanaendelea Jana nilienda kumsajili msela wangu flani hivi ila application fee imepanda sasa hivi ni 40,000/= copy za vyeti uwenazo na passport.
foundation si imefutwaNi kwa waliomaliza mwaka huu tu au itakua endelevu?