sometimes no research no right to say! nimefuatilia sana na NACTE wameanzisha kitu hicho,haf kama mtu alipata division iv akiwa na pass 4 akachukua certificate yoyote ktk vyuo vinavyotambulika na NACTE anaruhusiwa kuaply Diploma in primary eduction,tusikalie kusema mara utapeli mara hakuna kitu kama hicho,fatilieni