Msimu umeanza tena... Mercedes bado wapo juu sana, Engine za Honda mwaka huu zipo vizuri, Ferrari haina tofauti kubwa na msimu uliopita, Haas wapo vizuri na Alfa Romeo wanaweza kutoa ushindani mzuri chini ya watatu wakubwa!
Timu ya Williams ina wakati mgumu sana msimu huu....