Nawapa pongezi madereva wa fomular one usukani kama huu vitufe vyote hivi inabidi kichwa kifanye kazi hapo hapo team radio hapo hapo safety car speed limit kwenye pit stop na Detection point zone ubonyeze DRS na speed mpaka 350KMH, dahh hawa jamaa tuwaache tu ukiona nje unasema dereva fulani hana mguu.Hapo gear mpaka namba 8
hatari tupu