Country Driver Points
1 Ger S Vettel 161
2 GB J Button 101
3 Aus M Webber 94
4 GB L Hamilton 85
5 Spa F Alonso 69
...Gap aliloweka Vettel linaweza kuwa covered katika race mbili kwa mantiki kwamba hizo race zote Vettel awe not classfied (apate balaa kama HAM leo) vinginevyo Mc Laren wataisoma namba tu
Sad kwa H. Hamilton but was happy alivyotulia no jazba..Poor Alonso nae alivyotoka, nilimwonea huruma..
Ilikuwa long GP kuangalia jana halafu tofauti ya masaa...kudoz to Button!!..
nilitegemea angefanya vitu vyake kama kawaida siku za mvua, lakini ndio hivyo tena...
bahati nzuri Jenson Button gari yake haikuathirika. Ingekuwa disaster kwa team Maclaren.
Yani acha tu mana jamaa kwenye mvua anakokota vizuri ila ndiyo hivyo hajaambulia hata point leo..I'm so glad alivyokuwa calm, asiongee -ve things...Button kawaokoa McLaren!
It was good mvua kunyesha na kumwona Rihanna under her umbrella🙂) ha ha ha
I THINK,next year,F1 will have to change its tyre policy,cause its no longer about driving skills-tyre degradation has become too much of a deciding factor hence losing the sport its zeal
Sasa race imeanza kuboa, yani Vettel kazidi ku-dominate!!..sina haja yaj kuangalia GP ya 10th July ya Great Britain mana kama kawaida ataibuka kidedea..
Oooh boy! so boring!!
Sasa race imeanza kuboa, yani Vettel kazidi ku-dominate!!..sina haja yaj kuangalia GP ya 10th July ya Great Britain mana kama kawaida ataibuka kidedea..
Oooh boy! so boring!!
Inaboa kweli yaani kila nikiona Vttel kachukua Pole pstion nakuwa sina hamu ya kufutilia. Napenda nione uzoefu na utaalamu wake wa kushinda akiwa nyuma
I THINK,next year,F1 will have to change its tyre policy,cause its no longer about driving skills-tyre degradation has become too much of a deciding factor hence losing the sport its zeal
Tena tuwashukuru Pireeli maana hata huo uhondo tunaofaidi ni sabbau ya hizo tairi bila hivyo F1 ingeboa sana. Watakachobadilisha ni Engine Policy tena kwa ajili sasa inaonekana Redbull hana mpinzani.
Watakuwa hawatendie haki Red Bull lakini itabidi wafanye hivyo ili wawe sawa japo kiasi na wenzao.
1 Sebastian Vettel Ger Red Bull-Renault 186
2 Jenson Button GB McLaren-Mercedes 109
3 Mark Webber Aus Red Bull-Renault 109
4 Lewis Hamilton GB McLaren-Mercedes 97
5 Fernando Alonso Spa Ferrari 87
Kwa mwendo huu ni dhahiri hakuna utamu tema ataweza kutangazwa mshindi zikiwa bado race nne mbele kuisha!!