Tarehe 17 jumapili mida ya Saa 9 mchana tutakua Singapore, Marina Bay Street Circuit (4.940 km).
Tutaanza na Mazoezi Ijumaa tarehe 15, tutakuja qualification (grid) tarehe 16 Ijumaa hafu race yenyewe jumapili.
Tunajua Max, the Mad Max, the Super Max atabaki kileleni ila tunaenda kuangalia tu P2 atashika nani.
Kwa wakazi wa Dar kiwanja ni kilekile Fish Market, wengine mnaweza share viwanja vipya tukajumuike.
Kesho ile ubeaten ya Red bull inaenda kutamatika. Ila kwa vile Singapore ni street circuit lolote linaweza kutokea maana safety cars zitakuwa ni nyingi hivyo Max na red bull bado watakuwa na nafasi ya kuendeleza record..

Mkuu kama umefatilia Practices zote tatu na qualifying, Rb imezingua sana. Hii circuit ni ngumu sana ku overtake, Max yuko p11 huku perez yuko p13.
Ila lolote linaweza kutokea maana Rb19 ni habari nyingine inapofika race day (Sunday)
Nadhani hii itakuwa ni Gp yenye actions nyingi zaidi, Imagine red bull wako nyuma na wanataka ku maintain unbeaten record yao, msako utakuwa ni wa moto sana