Kuna muda huyo bottas alikuwa namba 1, Hamilton akiwa namba 2. Ulivyopatikana upenyo Hamilton alipita kama upepo,hajaachia nafasi hadi naondoka kwenye Screen. Kongore kwake kwa ushindi.
Nb, Yule mdada aliyekuwa anaimba nyimbo ya taifa(nyimbo ya ufunguzi) kabla ya rally kuanza , kivazi alicho kivaa ni utata mtupu.