Pia gari. Ferrari mara nyingi sana hawamalizi race sio kwaajili ya ajali, shida magari. Huu msimu yana ishu. Sema ile break kubwa ya last month watakua wamefanyia kazi.

Dereva anachangia kwa kiasi kikubwa sana. Verstappen ameanzia wa 7 ila amewakata wote within 4 laps. Si mchezo.
Hamilton ameanzia wa 19 ila ameingia top 5.
Timu zenye pesa zinachukua madereva bora, Red Bull na Mercedes wanao.
Lecrec na Ferrari wamevaba tena kama kawaida.
Verstapen kachukua, wa pili Lecrec. Ni ahabiki wa Ferrari ila wamenichosha. Lecrec ana pole 8 na karibu zote hajashinda raceView attachment 2353846

Kwa timu labda bado ila it very much like looks like dune. Ferrari wanawndelea kuchallenge ila verstappen anaendelea kushinda tu. Sifa moja mbaya ya Lecrec this season ni kuanza mbele ila hamalizi mbele