BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,818
- 11,001
Nawashauri form6 na mnaoaply Elimu ya juu kuanziamwaka 1988 hadi sasa.Wengi wenu mnaaply tu kwa sababu kuna kuaply.Angalia Perfomance yako,angalia uwezo wa kiuchumi kwenu na Angalia loan capacity ya kozi,co unajaza tu kutafuta ujiko ama tittle mtaani,angalia intake capacity-Programme ina uwezo wa kubeba watu wangapi na ususahau soko la ajira kwa baadaye.Kwa ushauri kama Umeshindwa kabisa kuwapata TCU,ama Huna Giide Book,Nipigie kwa+255712336687.Napenda Niwasaidie Mana Nilipata Tabu Kapply sb Teknolojia Tanzania Ndogo.Asnteni