JOSEPHAT J BAZA
Member
- May 4, 2013
- 27
- 22
Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk elimu kwani kufanya hivyo ni kuizika elimu ya TZ kuzimu. Ni bora kupata wanafunzi wachache bora kuliko wanafunzi wengi feki.Hii inaonyesha dhahiri kuwa serikali ya CCM NI MOJAWAPO YA MAAJABU SABA YA DUNIA AMBAPO WALIOFELI HUONGEZEWA MAKSI ILI WAKAFIE MBELE. KUONDOA UCHAFU HUU NI CHADEMA KUSHIKA NCHI 2015
Kumbe wahanga wa mfumo CCM ni wengi, sasa wanachekelea baada ya "kuwezeshwa". Nashindwa kuelewa nini kinacho-boa kuhusu thread hii zaidi ya kwamba imejaa ukweli
Utashangaa kuona watu wanashangilia matokeo mapya badala ya kulia. Ilichofanya serikali ni sawa na mtu aliyeuchi kuziba USO akidhani kajificha. Serikali inaangalia kujaza madarasa na si ubora kazi kwetu watoto wa masikini.
unanuka mdomo mwanangu!!!!! Embu kapige mswaki ndo uje na uz mwingine maana naisi umejinyea wewe!!! Ndomaana unaropoka... "samahan kwa kutumia lugha mbaya mshikaj anakera ebooooooooo!!!!"
Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk elimu kwani kufanya hivyo ni kuizika elimu ya TZ kuzimu. Ni bora kupata wanafunzi wachache bora kuliko wanafunzi wengi feki.Hii inaonyesha dhahiri kuwa serikali ya CCM NI MOJAWAPO YA MAAJABU SABA YA DUNIA AMBAPO WALIOFELI HUONGEZEWA MAKSI ILI WAKAFIE MBELE. KUONDOA UCHAFU HUU NI CHADEMA KUSHIKA NCHI 2015
fikiria kwanza kijana kabla ya kukurupuka yawezekana wew ndio KICHWA MAJI(MBUMBUMBU) haya yanachakatwa kwa kufuata mifumo ya kawaida ya nyuma!! Ar u thre?
Hakuna ukweli wowote kuhusu hili