daa kwa asilimia kubwa,kuanzia tarehe 5 july hii shule nying za A LEVELS,znafnguliwa hususan kwa wale wanaoingia form 6, only, JE? kwa form 5,waendelee kula bhataaa na vjitwishen vya mtaaan mpaka octoba?

Nchi ya ajabu sana,jambo dogo selection/joining date A level pia is a matter of intense speculation. Nalo hili kama mikataba maliasili linagubwika na usiri!