donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
kwa hiyo mpaka usahau password ndo inafanya kazi. je kama nikitaka sura yangu ndo iwe kama password inakuwaje?
xaxa mkuu it doesn't need webcam????:A S 39:
kwa hiyo mpaka usahau password ndo inafanya kazi. je kama nikitaka sura yangu ndo iwe kama password inakuwaje?
Hizi facial recognition softwares zinahitaji multiple shots ili zisisumbue.
Mi natumia ile ya YouCam, nimepiga picha katika different light intensity so hata katika mwanga hafifu au mkali sana mi natumia tu face yangu kama password na inakubali kuwork.
Mkuu umeniquote vibaya, nlichomaanisha kwamba sahau ulimwengu wa kuingiza passwords, tumia sura yako iwe ndio kama password!
nimeshakusoma iko poa sana
Muhm hapa ukumbke kuweka mapoz yako yote maana inakuwezesha kuweka picha kuanzia saba.
weka picha zenye hiz sifa
ukiwa kwenye mwanga mkal
mwanga wa kawaida
mwanga hafifu
ukiwa umenuna
una furaha
huna hela,ya pozles
chumban sijui wapi wapi huko
haya n maon yang maana kuna cm ilitoa jasho baada ya kutaka kuitmia night