Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
naomba nkurekebishe kidogo mkuu,,,hauna haja ya ku-unstall offcial whatsapp just clear data,,,kama ulipata msongo wa mawazo baada ya ogwhatsapp kuwa ya developer kushindwa kuendele kufanya mautundu yao, kaja tena huyu app anitwa whatsFapp anakuwezesha kutumia namba tatu za whatsapp kwenye simu moja, cha kufanya downloada kupitia google "whatsFapp apk" baada ya hapo backup vonversation yako kwa official whatsapp then uninstall na install hiyo WhatsFapp
enjoy namaba ya kwanza
kwa namba ya pili fanya kama ulivyofanya hapo juu download official whatsapp ingiza namba ingine chat na mtu mmoja au zaidi kisha backup data na uninstall na kisha download tena upya huyo jamaa WhatsFapp install na restore data zako
enjoy namba ya pili
kwa namba ya tatu malizia kwa kudownload official whatsapp na weka namba yako
cheers
naomba nkurekebishe kidogo mkuu,,,hauna haja ya ku-unstall offcial whatsapp just clear data,,,
baad ya kufanya backup ingia kweny settng>>apps>>whatsapp then clear data,,,
Then hii kuchukua muda mrefu hua inasababishwa na nn
Yaani hili ni tatizo sana....juzi mm hata official version imekaa masaaa kama sita
Braza hata hii ni official but dahh inasumbua nishachoka kuisubir..zaid ya masaa mawili tena
Hio unga usiku halafu lala asubuhi ukiamka mambo shwari
Task completed....
Then hii kuchukua muda mrefu hua inasababishwa na nn
binafsi cjawah pata hilo tatzo mnalolisema,,,Yaani hili ni tatizo sana....juzi mm hata official version imekaa masaaa kama sita
Braza hata hii ni official but dahh inasumbua nishachoka kuisubir..zaid ya masaa mawili tena
Ukiwa kwenye network finyu ndio tatizo.