Forget 5G: Samsung Is Already Working On 6G

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,065
Forget 5G: Samsung Is Already Working On 6G

We'll be waiting years for 5G to become ubiquitous and fundamentally change how we and our products connect to the Internet. But that isn't stopping Samsung from looking to the future.

1118812

5G networks might still only be available in a few countries, but Samsung is already working on 6G.

Samsung is a minor, but growing, player in telecoms equipment and hopes demand for 5G kit will see its share of the market rise even further. By the time 6G arrives, it could be an even major competitor to the likes of Ericsson, Huawei and Nokia.

To support these efforts, the company has expanded its telecommunication research team and formed a new group called the Advanced Communications Research Center in the Korean capital of Seoul.

1118813

Samsung 6G

“The current team on telecommunications technology standards has been expanded to start leading research on the 6G network,” a Samsung spokesperson told The Korea Herald.

What will eventually constitute 6G has still yet to be debated, never mind realised. In Northern Finland, the €251 million 6Genesis project will research the wireless communications technologies that will eventually comprise 5G.

Leaders of the project told TechRadar Pro earlier this year that 6G would fulfil the capacity and latency promise of 5G by delivering the architectural shifts required and through the use of Artificial Intelligence (AI). It is also thought that 6G will deliver speeds of up to 1Tbps (1 Terabyte per second).

1118825

South Korea launched the world’s first commercial 5G mobile network earlier this year, while AT&T and Verizon have switched on 5G services in the US. EE turned on the UK’s first 5G network last week, with coverage available in the busiest parts of six major cities in the UK.

Sources:
  1. TechRadar::Samsung kicks off 6G research
  2. Tom's Guide::Forget 5G: Samsung Is Already Working on 6G
 
Du, wakati wengine wanapaa hivi sisi tuko wapi au tuko dunia gani? Wale wanaojidai kuunga mkono juhudi wajiulize tena kama kweli wanajua wanachokifanya kabla hawajahitajika kupelekwa Mirembe.
 
Unaweza usiamini ila kuna muda ukikaa na kufikiri sana unajikuta unakubaliana tu na ule usemi wa "Africa is a Dark Continent".
 
Du, wakati wengine wanapaa hivi sisi tuko wapi au tuko dunia gani? Wale wanaojidai kuunga mkono juhudi wajiulize tena kama kweli wanajua wanachokifanya kabla hawajahitajika kupelekwa Mirembe.
Matumizi ya internet kwa nchi wenzetu ni makubwa sana mkuu kama uku kwetu kuna vijiji ata G tu au 2G hawana unaisi ata ikija kutakuwa na umuhimu mkubwa kama ofisi za serikali bado zinatumia manual system kwenye upelekaji wa taarifa kutoka ofic moja kwenye nyingine au ata ndani ya eneo la ofic simu za kuwasiliana ni shida mpaka mtu asimame aende ofic nyingine hatujali upotevu wa muda ndyo tatizo
 
Forget 5G: Samsung Is Already Working On 6G

We'll be waiting years for 5G to become ubiquitous and fundamentally change how we and our products connect to the Internet. But that isn't stopping Samsung from looking to the future.

View attachment 1118812

5G networks might still only be available in a few countries, but Samsung is already working on 6G.

Samsung is a minor, but growing, player in telecoms equipment and hopes demand for 5G kit will see its share of the market rise even further. By the time 6G arrives, it could be an even major competitor to the likes of Ericsson, Huawei and Nokia.

To support these efforts, the company has expanded its telecommunication research team and formed a new group called the Advanced Communications Research Center in the Korean capital of Seoul.

View attachment 1118813

Samsung 6G

“The current team on telecommunications technology standards has been expanded to start leading research on the 6G network,” a Samsung spokesperson told The Korea Herald.

What will eventually constitute 6G has still yet to be debated, never mind realised. In Northern Finland, the €251 million 6Genesis project will research the wireless communications technologies that will eventually comprise 5G.

Leaders of the project told TechRadar Pro earlier this year that 6G would fulfil the capacity and latency promise of 5G by delivering the architectural shifts required and through the use of Artificial Intelligence (AI). It is also thought that 6G will deliver speeds of up to 1Tbps (1 Terabyte per second).

View attachment 1118825

South Korea launched the world’s first commercial 5G mobile network earlier this year, while AT&T and Verizon have switched on 5G services in the US. EE turned on the UK’s first 5G network last week, with coverage available in the busiest parts of six major cities in the UK.

Sources:
  1. TechRadar::Samsung kicks off 6G research
  2. Tom's Guide::Forget 5G: Samsung Is Already Working on 6G

Safi sana, pro amerika hawakupendezewa hii taarifa. Na bado HUAWEI 😀 tunasubiri.
 
Fungueni link mkasome
hiyo ni kwamba wanajadili for future
pia tukumbuke kuwa ndio hawa hawa samsung walishindwa kutoa tamko mwaka upi wataleta 5g
wakati huohuo tukumbuke apple wao walisema 5g wataanza kuishugurikia kuanzia 2021
Pia tukumbuke kule russia mchina tayari kazi imeanza kufunga 5g mitambo yake.

Hii teknolojia ya 5g ama 6g ni rahisi sana kuiongelea na kuijadiri ila ni kitu cha garama kubwa sana kuweza kukifanya kikatokea,
Kiasi kwamba kwasasa ambaye anaurahisi wa kukifanya kwa urahisi na kwa garama ya chini ni china peke yake sababu rawmaterials nyingi anazo zinazomsaport kufanya.
TOfauti na mkorea na tofauti na Mmarekani, Ndio maana gari inayouzwa dollar 5000 mchina anaweza akabalance ikauzwa hata dollar 1000 ni sababu ya urahisi wa kupatikana kwa rawmaterials

siongei kuwabeza samsung ila kuna kazi kubwa sana mbele yao ya garama kubwa mno na pia kumbuka hata hiyo 6g ikija msala mkubwa ni kwamba simu zao je wataweza kuziuza kwa bei ya chini ambayo iwe kivutio kwa wateja wengi?

na hii ndio sababu kubwa hata Samsung na apple walishindwa kuileta 5g kwa haraka sio hawana uwezo uwezo wanao ila garama za utengenezaji simu za kusupport kwa wastani inabidi ili wapate faida simu moja iuzwe labda usd 800 sasa hadi iweze kuuzwa nchi zingine si ndio unafika usd 1500?
Nani atanunua?
Watauza ama hawatauza?
Haya ndio maswali wakijiuliza wanapata sana kigugumizi kuleta 5g na 6g zao hizo,

Kwa hiyo kabla hatujashangilia 6g tujiulize tutaweza ku-afford kununua product za kusupport 6g kutoka samusng?
wanaweza wakatuuzia simu kwa laki 4 hapa tz yenye 6g?

Uwekezaji unaenda na uchumi na faida ya mbeleni
lets hope good wasije wakaishia kufunga wao kama wao humohumo ofisni mwao
 
Umesema kwamba Samsung na Apple walishindwa kuleta simu za ku-Support 5G kwa haraka?? Sijakupata vizuri sababu kuhusu Samsung, ndiyo Kampuni ya kwanza kutoa Simu ya 5G inayopatikana kwa wateja Duniani kote. Ila kabla ya hapo, Kampuni ya simu ya Motorola ndiyo ilikuwa ya kwanza kabisa kuja na Smartphone inayo-Support 5G kupitia Verizon, lakini kwa ndani ya Marekani pekee tofauti na Samsung ambayo ni kwa ajili ya wateja wote Globally.

Pia umeuliza kama zinauzika na nani ananunua? Ndio! zinauzika na watu wananunua sababu tayari hii teknolojia ya 5G imeshaanza kushamiri nchi mbalimbali Duniani na kila nchi hasa zilizoendelea zinapigania ku-Launch 5G Network kwa haraka iwezekanavyo na makampuni mbalimbali ya mitandao ya simu yanashindania hii teknolojia huku kila mmoja akijaribu kuanzisha huduma ya 5G kwa haraka kuliko wenzake ili kuteka soko la mitandao ya simu katika nchi mbalimbali. Mfano; Korea Kusini, Uingereza, Marekani n.k. tayari 5G Network inapatikana na tayari makampuni ya mitandao ya simu yanapigania wateja kupitia 5G. Apple ndio bado ila wame-Confirm kwamba watatoa simu yao mwakani, 2020.
 
Kuna maeneo Tanzania hayana hata 2G ila huko wengine wanahangaika na 6G.

Tupo nyuma sana.
Ndio ivyo Mkuuu hata kupata zero ni maksi Kama maksi nyingine. Hatuwezi kushindana na ngozi nyeupe zinazokula vyakula vya kuongezea akili. Sisi tunakula ugali/wali na maharagwe. Akili bado ni kizungumkuti, tuendelee kusubiriana mpaka akili zetu zinyanyuke. Dunia itakuwa ipo 100G (100 Generation)
 
Back
Top Bottom