Badala muhamasishe Watu wasome vitabu waielewe hiyo forex nyie mnakomaa na training!
Mwisho wa siku account zinaungua kizembe kabisa!
Mwisho wanakuja kulia lia huku
Ww jamaa huchoki na training zako? Ngoja nikupe mbinu ya kupata wadau.
Uwe unatoa free analysis na signals humu jf kama signals za ukweli watu watakutafuta wenyewe ila akaunti zikiungua utaitwa tapeli tu.