lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 905
Habari wadau Forex Trade. (The MK45STRATEGY PACKAGE)
leo nimekuja na zawadi hii katika msimu huu wa kusheherekea wakina mama ulimwenguni (Mother's Day).
Nimeona niwahusishe wakina dada kwenye suala zima la forex, nimegundua wengi wana struggle hivyo leo nimekuja na strategy ambayo imekuwa miongoni mwa Strategy gumzo. Hii Stretegy inaitwa MK45Strategy ambayo gharama yake (Nilikoinunua kwa wahusika) ni Tsh 300,000/= za kitanzania.
Leo nimeona niwashirikishe wadau wa makundi yote wenye kujihusisha na Forex Trade muweze kupata fursa ya kutumia Strategy hii bila kulazimika kununua popote pale.
Hii strategy ina husisha sehemu kuu 3;
1. File la Template
2. Indicator
3. Manual (Kitabu maalumu kwa ajili ya kukupa maelekezo na muongozo namna ya kuitumia hii strategy)
LINK : Download +255MillionairesfxTemp.tpl - Template
LINK: Download +255MillionairesfxIndicator.ex4 - Indicator
LINK: Download MK45strategy(Manual).pdf - Manual
(Flower in the Manual Yellow Line)
KUMBUKA: hii Strategy ni gharama mno na sasa ni bure, hivyo asitokee mwingine akakwambia yake ndio nzuri au original zaidi ya hii na ukaingia gharama na kujikuta unanunua kitu kile kile.
Hii Strategy ni kwa hisani ya
1. Elisanto Sucrose ( @255millionairesfx ), @themoneyhollic/ FxMoneyIndustry and Co.
Kwa Hisani ya +255MillionairesFX (Money Knocking At Your Door).