Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,331
- 5,017
Almost everything in life is gambling. Hata hiyo unayoita "outcome ya uhakika " inaweza kuwa gambling. Why? Kwa sababu unaweza tegemea kuipata na usiipate.aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika
Wapo waliotajirka kwa forex Ila bilionea wa forex hayupo ila mamilionea wap alaf nakkmbusha kama huna mtaji wa kueleweka forex aiseeeeee hii mi taji yetu ya dola 200$ kushka chini ayaa.Hakika wewe ni Mpumbavu, umepigwa huko unakuja na kusema hakuna aliewahi tajirika kwa forex or betting.
Hapana gambling it means winning percentage ni ndogo mno wakati uko kwingine percentage ya kufall ndo inakuwa ndogo.Almost everything in life is gambling. Hata hiyo unayoita "outcome ya uhakika " inaweza kuwa gambling. Why? Kwa sababu unaweza tegemea kuipata na usiipate.
Anunue mbinu za kupigwa hela zake?View attachment 1719988
Mcheki COVID_520 telegram ununue moja kati ya hizo kozi,then jifunze.Au mtafute Ontario (Sirjeff ) akupe shule.
Ndiyo maana ni maamuzi tu,Kupigwa au kutopigwa (ni wewe tu)anunue mbinu za kupigwa hela zake?
Sio unanikumbusha, jikumbushe wewe. Safi Sasa Kama umejua both fundamental na technical analysis za forex na kubwa zaidi pia Kama umejua mtaji mkubwa ni wa muhimu zaidi hapo unahitahi consistency kwenye unachokifanya.Wapo waliotajirka kwa forex Ila bilionea wa forex hayupo ila mamilionea wap alaf nakkmbusha kama huna mtaji wa kueleweka forex aiseeeeee hii mi taji yetu ya dola 200$ kushka chini ayaa
Well, if that's how you define gambling, you must be right then.Hapana gambling it means winning percentage ni ndogo mno wakati uko kwingine percentage ya kufall ndo inakuwa ndogo
Mi nafanya forex na nimemake faida japo so sana ila mtaji wangu umekua on somehow lakn nasema forex is gambling coz unaweza fanya analyis zote ujuazo na bado ukapigwa maana anytime any second soko lnabalika tuko sawa sawa mkuu.Sio unanikumbusha. jikumbushe wewe. Safi Sasa Kama umejua both fundamental na technical analysis za forex na kubwa zaidi pia Kama umejua mtaji mkubwa ni wa muhimu zaidi hapo unahitahi consistency kwenye unachokifanya.
Ulkua sahihi mkuu ni kamari katika sura tofauti.Kuna siku nilisema forex ni kamari watu wakaniona nimechanganyikiwa.
Naijua vizuri sana mkuu na nmemake profit ya maana ila bado nadlik kusema hii ni gambling katika sura nyingine.View attachment 1719988
Mcheki COVID_520 telegram ununue moja kati ya hizo kozi,then jifunze.Au mtafute Ontario (Sirjeff ) akupe shule.