Forex charts and analysis

Rising channel and bullish engulfing kwenye support.View attachment 799102
offcorse na ilikua retest ya sapot nikasema walisahau ama walikua wanatega watu so valid entry kwa upande wanguu ivunje down chanel iliyopo ndanani ya iyo rising C
Screenshot_20180610-111142.png
 
Mkuu mi nashauri utengeneze group la whatsapp au channel itakuwa poa zaidi (ITAPENDEZA ZAIDI) kuliko hapa kwenye jf. Uzoefu unaonyesha kwamba wengi kwenye jf wanapiga chabo tu. Ila kama mtu atakuwa serious then atafuatilia kwenye group au channel na naamini huko watakuja watu ambao wengi watakuwa serious na hii kitu! NI MTAZAMO TU!
Group ndo safi zaidi
 
mi naona mema ktk Euro Aud inamalizia matofali yake ya mwisho kuform head and shoulder ktk 30m 1h na ktk 4h kuna Be engulfing kuashiria zote ni push za down bado ktk daily Ch imefunga inverted harmer clear then general trend ktk major TF ni down trend So what MazaF#c goin outthere?? story ainaendelea ktk lower TF 1,5mn zimefunga very BE candles hii ili pale New major candle zinapofunguka huacha gape Up sas hi gape up itaboost retest then safari ya kupush to down ianze
Screenshot_20180610-114032.png
 
mi naona mema ktk Euro Aud inamalizia matofali yake ya mwisho kuform head and shoulder ktk 30m 1h na ktk 4h kuna Be engulfing kuashiria zote ni push za down bado ktk daily Ch imefunga inverted harmer clear then general trend ktk major TF ni down trend So what MazaF#c goin outthere?? story ainaendelea ktk lower TF 1,5mn zimefunga very BE candles hii ili pale New major candle zinapofunguka huacha gape Up sas hi gape up itaboost retest then safari ya kupush to down ianzeView attachment 799320
Hehe watu mko vizuri,it's going down mkuu
 
Yap pia ni downtrend ni kusell tu
 
View attachment 799568 View attachment 799568

Am already on it since fridayfriday it is going down
IMG_20180610_180532.jpg
 
great but mida ya saa 11.30 A.m kutakua na news GBP high impact news so naamin Gbp itakua imara kidogo mpaka muda huo then idicide where to go so be patient until stranger did their things, aam pia EuroJpy ni ndugu yake GbpJpy same direction
Hahahaa yeah sure itabiri tusubiri hapo kwanza news sizipendi sana.
 
*STICK WITH BIG BROKERS, WHO ARE PROMINENT & HAVE BEEN TRIED & TESTED ALREADY. BEYOND REASONABLE DOUBT THEY ARE PROVED TO BE HONEST, PURE ECN,SMALL SPREADS FROM ZERO, OPEN & TRANSPARENT.*

*TO OPEN LIVE ACCOUNT & IF YOU WANT ME TO GUIDE YOU THROUGHOUT THE WHOLE PROCESS TILL YOU HAVE REACHED MT4 LIVE ACCOUNT. TICKMILL IS THE LEADING BROKER.*

*FEEL COMFORTABLE BY REGISTERING YOURSELF USING THE LINK BELOW.*

_*MEMBERS* USE THIS LINK_

https://secure.tickmill.com/redirec...ure.tickmill.com/trader/?task=1050&lang=2

*NOTE*

Below are the main points why to use Tickmill:

IpayAfrica mobile deposit / withdrawal option ( by next week will be available )

Those who will register with Tickmill using that IB link will get a discount on the commission charged on their trading activity on Pro account

Excellent trading conditions
Fast execution
Spreads from 0.0
85 Trading Instruments
No requotes
Negative Balance protection
Strong regulation
Segregated accounts
Industry Awarded
EAS and Algos Allowed
Fast withdrawals without commissions
Support in 15 languages via Chat, online message, email and phone
Mon-Fri 07:00-20:00 (GMT)
 
*WAKANDA CAPITAL FOREX ACCOUNT MANAGEMENT*

Hii ni huduma mpya inayotolewa na *Wakanda Capital.*

Huduma hii ni mahususi kwa wale watu wenye uelewa na forex au wale wanaotrade ila hawana muda kutokana na majukumu ya kimaisha hivyo kupelekea kukosa muda wa kutrade kwa ufasaha. Hivyo, lengo la huduma hii ni kuweza kuwasaidia kumanage acc zao za Forex huku wao wakipata faida bila kufanya kazi yoyote.

*Je, ni nini kinahitajika ili kupata huduma?*
-Live Forex Account
-Templerfx kama broker
-Minimum Deposit ya $200

*Je, pesa ya kutrade ninaweka wapi?*
Pesa itawekwa kwenye acc yako. Kama huna acc ya Templer, unaweza kutumia link hii kufungua acc Templer FX Trader na ukimaliza utafanya usajili na kufungua live acc, baada ya hapo utadeposit kiasi husika. Kama ukikwama tupo hapa kukusaidia kwa kila step.

*Je, ninaweza kutoa faida inayopatikana?*
Acc ambayo itakuwa chini ya uangalizi wa *WAKANDA CAPITAL* inaruhusiwa kutoa pesa mara moja kwa mwezi, na faida ya mwezi husika itagawanywa 70% kwa 30%, ikiwa 70% itaenda kwa mwenye acc.

*Je, kama nina maswali zaidi nitawapata vipi*

Kwa maswali zaidi mnaweza kuwasiliana na (CEO) kupitia 0744839127 au (CFO) kupitia 0756684172.

*Wakanda Capital*

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehh, wakanda bna
 
Back
Top Bottom