Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

nisaidie hili, hivi katika uislamu sharia zenye makatazo (yaani zinazotaja dhambi) ni ngapi? je zile za kuhalalisha nazo ziko ngapi? this is only out of curiosity.
 
Kwahiyo waepuke kununua hisa za benki na taasisi zote za kifedha maana wao huwa wanakopeshwa kwa RIBA.

Pia kuna Miradi mikubwa ya nchi ambayo imeanzishwa na kujengwa kwa fedha za RIBA kutoka taasisi za fedha za kimataifa. Je Waislamu hawapaswi kujihusisha na hiyo Miradi kwa namna yoyote.

Kwanza kwa uelewa wangu kila biashara ina RIBA kwa namna moja au nyingine kwahiyo Waislamu hawapaswi kufanya biashara?
 
nisaidie hili, hivi katika uislamu sharia zenye makatazo (yaani zinazotaja dhambi) ni ngapi? je zile za kuhalalisha nazo ziko ngapi? this is only out of curiosity.

Kaka, nimekuelewa swali lako

Jibu lake ni hivi; Uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu kuanzia anapoamka mpaka atakapolala. Hivyo kila jambo lina utaratibu wake kidini kuanzia; uchumi, siasa, elimu, afya, lishe, ndoa, mirathi, mahakama, etc Muislamu ni jukumu lake kusoma dini yake na kufuata utaratibu huo wa maisha. Muislamu anatakiwa ajue namna ya kuishi inward as well as outward kulingana na mafundisho. Hivyo basi there is such thing as "idadi" ya dhambi bali mtindo wa maisha.

Nadhani umenielewa kaka
 
Mfano Lockheed wanatengeneza Ndege, Rocket, Na vifaa vingi vya defense je ni haramu kununua hisa zake au chukulia space X?
 
Dini haijawahi kumpeleka Binadamu mbele hata siku moja sana sana itadumaza akili yako, Hii technology iliyopo sasa bila watu kuvua miavuli ya dini tusingekuwa hapa kabisa, Tuacheni Uzwazwa mana hata hao walio ileta hawawi wajinga kama sisi tuliopokea
 
Kwahiyo waepuke kununua hisa za benki na taasisi zote za kifedha maana wao huwa wanakopeshwa kwa RIBA.

Yes, waepuke

Sio kweli.. hivi mfano wewe umenunua bidhaa kwa Tsh 100,000/= ukaenda kuuza kwa Tsh 250,000/= , faida yako ni Tsh 150,000/=, riba iko wapi hapo? riba ni kukopa Tsh 100,000/= ukaambiwa urudishe Tsh 250,000/=
 
Mkuu riba ni riba tu iwe direct au indirect. Kupitia mikopo, pale huwa kuna riba ya moja kwa moja, na kupitia biashara kuna riba iliyobatizwa jina la faida ambayo ni indirect interest.
 
Mkuu riba ni riba tu iwe direct au indirect. Kupitia mikopo, pale huwa kuna riba ya moja kwa moja, na kupitia biashara kuna riba iliyobatizwa jina la faida ambayo ni indirect interest.

Mkuu, niambie maana ya riba?
 
Somo zuri sana. Wakatrade stocks, indices, oil, cryptos kama bitcoin, ethereum etc kuna vitu vingi vya kununua na kuuza
 
Niliwauliza wenyewe wakaniambia ni riba ile sasa sijui nikuelewe wewe au wao.
Sasa benki wakukopeshe leo alfu 10 baada ya miaka 5 ulipe alfu 10? Na wao wanafanya kama hao mikopo ya vyuo kufidia loss ya value. Tatizo hakuna shekh yoyote aliyekuja na system mbadala ya bank. Wakati sote tunajuwa kufanya biashara huwezi kuikwepa bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…