Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Jan 22, 2015 #2 Sometimes bora kuwa alone tu, manaake uki-share nyumba na wale wa jinsia nyingine wao wanaongea kuanzia asubuhi mpaka jioni, hata ukitaka kuangalia football match ye bado anakuongelesha tu.
Sometimes bora kuwa alone tu, manaake uki-share nyumba na wale wa jinsia nyingine wao wanaongea kuanzia asubuhi mpaka jioni, hata ukitaka kuangalia football match ye bado anakuongelesha tu.
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Jan 22, 2015 #3 Huwa nakuwa lonely nikiwa alone!