Angalia competitive advantages zako, study competitors wako japo wachache wanaotoa hizo products, estimates demand then hiyo ifanye iwe sales yako. Kisha manipulate growth factor yako, hapo ndio utakuwa na forecast. Ila ninashaka km baadhi ya maeneo kwenye b'plan yako sawa maana usingehangaika na hapo.