Hali hii inasikitisha sana hasa pale inapokuwa kuwa viongozi wa kijamii waliopaswa kuliona hili tatizo mapema na kulitafutia ufumbuzi wako bize kumlaani Nyerere, wako bize kupambana na Mfumo Kristo,wako bize kulaani ukoloni wa Mtanganyika, wako bize kutaka waachiwe wapumue! nk nk