Mara nyingi huwa najiuliza kwanini kila jambo linalohusu dunia mf. maendeleo ya kiteknolojia na mambo ya anga, wanaoyajua ni wazungu tu, na yanatoka kwao tu, je ni kwamba waafrika hatuna maarifa ama wazungu wana siri fulani kuhusu dunia hii...
Kweli endeleeni kutujuza tuwe na ufahamu, uzi mzuri sana huu