Forbes 2017 Billionaires List

Chakushangaza kati ya hao hakuna aliyewahi kuajiriwa
Kila mtu duniani anaajiliwa iwe direct au indirect watumiaji wa bidhaa na huduma zao ndio waajili wao leo hii nisipotumia watsupp huyo mark hata ingiza hata shs 1
 
Bill Gate his wealth unakua 11% annually na saiv ana 61yrs old 25yrs mbele akiwa 86yrs old atakuwa the first Trillionaire
 
Kila mtu duniani anaajiliwa iwe direct au indirect watumiaji wa bidhaa na huduma zao ndio waajili wao leo hii nisipotumia watsupp huyo mark hata ingiza hata shs 1
tunatukanana insta na kumjadili makonda kumbe tunaongeza utajiri kwa Mark, JPM anakazi kweli kututoa kwenye ujinga
 
Mark uwekezaji wake mkubwa sana has baada ya kuzinunua whatsapp na instagram na bado anawekeza yaaani jamaa ndo future front runner kwenye hiyo list bill akizingua
Bill kaongeza $ 10 billion kwa mwaka mmoja
 
Bill Gate his wealth unakua 11% annually na saiv ana 61yrs old 25yrs mbele akiwa 86yrs old atakuwa the first Trillionaire

Halafu hizi hela kiasi kikubwa anaweza kuzigawa kwa ajili ya kusaidia. usikute ndio anacho fanyia kazi, coz technically hana haja ya kufanya kazi maisha yake yote.
 
Daaahhh hv mihela yote hiyoo si aache tu kutafuta aawe anaspendi tu
 
More Gates in a row
1.1995-2007 consecutively
2. 2009
3. 2014-Now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…