mbona hawajamwandika le bilionea akili kubwaz tambitambiNgoja tu niwape hongera zao.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mbona hawajamwandika le bilionea akili kubwaz tambitambi
Huyo Le-Mutuz aliwakoseaga nini ?mbona hawajamwandika le bilionea akili kubwaz tambitambi
MSAGA SUMU alisema alirudi na utajili wa dola 100 hakuna aliyefika hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mpenzi hii ni list ya wenye mali na fedha zao, sio ya wenye vitambi vyao!!!
tatizo ana hela nyingi ila humu hawaja muandikaHuyo Le-Mutuz aliwakoseaga nini ?
mark atampita hadi BillMmh!! Carlos slim kapitwa na mark?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]MSAGA SUMU alisema alirudi na utajili wa dola 100 hakuna aliyefika hapo
MSAGA SUMU alisema alirudi na utajili wa dola 100 hakuna aliyefika hapo
We alikupa nini huyo Le-Mutuz?Huyo Le-Mutuz aliwakoseaga nini ?
Ahhahhh nusu akanunua laptop Leo ni kampun inayoajir mamilion ya vijana Ahhh I'm humbled you knowMSAGA SUMU alisema alirudi na utajili wa dola 100 hakuna aliyefika hapo