Dr Jeremiahs
Member
- Sep 4, 2020
- 39
- 314
siwataki wa alfu mbili hawakati, wanataka pesa nyingi, muda wowote unawafumania!, yani kuwa nao wale ni kama upo mkabala na serikali kama sio jela basi hospitali..Hakuna haja ya kuupuuza. Fata moyp wako....watoto wa af2000 wanakufaa zaidi😄
Aloo pesa nataka. No romance without financesiwataki wa alfu mbili hawakati, wanataka pesa nyingi, muda wowote unawafumania!, yani kuwa nao wale ni kama upo mkabala na serikali kama sio jela basi hospitali..
mi nakutaka wewe, no worries,no stress, no government issues, nyamnyam at any time, you know how to control when it comes about pregnant and also money money is not honey honey to you...😅
Hapo vipi mpenzi wangu nikupendae...?
sasa we utakuwa mshangazi wa namna ganiAloo pesa nataka. No romance without finance
Mshangazi anayetaka kuhudumiwasasa we utakuwa mshangazi wa namna gani
mh! ushapoteza sifa ya ushangazi huna tofauti na wa alfu mbiliMshangazi anayetaka kuhudumiwa
Bora kupoteza sifa aisee ila kumhudumia mwanaume haitatokea.mh! ushapoteza sifa ya ushangazi huna tofauti na wa alfu mbili
wewe ni janamuke katili,jangili,bahili unafaa kuuliwa..😂Bora kupoteza sifa aisee ila kumhudumia mwanaume haitatokea.
Niueni tu kwa kweliwewe ni janamuke katili,jangili,bahili unafaa kuuliwa..😂
Basi nitakuhudumiaNiueni tu kwa kweli