For sale Subaru 14Mil

For sale Subaru 14Mil

Josee Munyama

Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
42
Reaction score
35
Gari Kali na ya kijanja inauzwa aina ya Subaru Simu no
1474381021290.jpg
1474381050255.jpg
0717673698,WhatsApp 0768302047
 
mil 14 bei ya yard! jua soko, jua Wateja, Fanya biashara!
Bei ya yard ikoje mkuu? Halafu ukisema ni bei ya yard maana yake gari inakuwa haijasajiriwa wala kulipiwa bima, maana yake ukiitoa yard utatakiwa kutafuta pesa tena kwa ajili ya usajiri na bima.
 
Gari utakalo nunua Yard na utakalo nunua kwa mtu ni tofauti. Ni bora mtu akanunue Yard kwa hiyo bei akiwa na uhakika wa gari kuwa ni zima kuliko kununua kwa mtu akiwa na wasiwasi wa uzima wa gari.
Kuna sababu nyingi za kuuza gari jipya,tena plate number D inatia wasiwasi.
 
Kazi sana umebaki na formula za hesabu darasa la sita unazani utazitumia na kwenye maisha ,let's go
 
nimegundua una account nyingi! mil 14 huwezi kupata mteja, yaani utake au usitake!
 
Back
Top Bottom