For sale: Plot no. 692-burka arusha city centre

For sale: Plot no. 692-burka arusha city centre

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
331
Reaction score
211
Plot for SALE $ 122,000. Located at the heart of Arusha City along a very Prime and strategic Area known as Burka beside Mawala Estate . It is a corner plot of sq.m 1,077 with a title deed for Residencial/Commercial block. Below are some pictures showing ideally what can be proposed to be built and some real pics showing how it looks like. FOR MORE DETAILS INBOX.

IMG-20140504-WA0002.jpg

2014-05-31-13-57-14.png

2014-05-31-14-02-12.png

2014-05-31-14-00-42.png
Sample of the prosed Commercial/Residencial structures which can fit and has been approved by City Council.
2014-05-31-14-16-10.png
 
noted.

so 1sqm is approximate Tshs.185,700/= ??????
 
Duh hata mimi nina kiwanja maeneo hayo mkuu ila sikujua bei imefikia hapo sasa hvi
 
Hapo ndo arusha city centre?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Duh hata mimi nina kiwanja maeneo hayo mkuu ila sikujua bei imefikia hapo sasa hvi

Ofcoz but sio kila plot ina hiyo value inategemeana na status ya plot (isijekuwa hiyo yako ni makazi peke yake), consider pia location hicho kiko kwenye kona one can enjoy road access on both sides, also the size is fair you can raise two structures as seen above
 
Hapo ndo arusha city centre?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

It is located at the heart of Arusha City along a very Prime and strategic Area for Business or apartments or Shopping mall etc....
 
mawalla estate yenyewe kule ndani rate per sq.m ipo around 80,000 ... kuna lami.. umeme .. maji... kumejengeka zaidi na kuna mazingira mazuri zaidi.. burka bado sana kwa bei hiyo... rate per. sq.m burka sasa hivi ni around 30,000,, usishike watu maskio.
 
Mpaka mtu akawa na uwezo wa kununua hiyo plot atakuwa na uwezo pia wa kiakili na upeo wa kufikiri kuliko wako kaka wa kulinganisha value ya kinachouzwa kabla ya kulinganisha bei , ingekuwa hivo mbona vipo hata vya 1,000 kwa sq m....unachoweza kufanya wewe ni kupita tu....
 
Asante Magufuli! Jamani Burka sqm 1000s et USD 122,000?? Hivi jamani hizo hela mnadhani zinaokotwa kwenye mwembe? Yes, value for Money ni muhimu. Lakini siyo kwa kiasi hicho!

Ngoja tuu Magufuli atufunze adabu..Hakuna namna!
 
Daaah rate ya dollar kwa sasa ni kama 2231 kwa tz shilling

usd 122,000×2231 = 272,182000

Daaah hii pesa noma sana nilidhan ya madafu wacha nikae mbali na jiji la arusha
 
Ninachotaka kujua..hiki kiwanja kiliuzwa??? Arusha wanamaisha ya uongo sana. Hilo eneo halina maji, barabara kimeo na umeme unga unga mwana.
 
Ninachotaka kujua..hiki kiwanja kiliuzwa??? Arusha wanamaisha ya uongo sana. Hilo eneo halina maji, barabara kimeo na umeme unga unga mwana.

Mkuu mimi nadhani siyo Arusha tuu. Bongo tumezidi kwa maisha ya figisu. Ndo maana Ngosha ana usongo na sisi. Unakuta sehemu hakuna hata mtaro wa maji machafu, mvua ikinyesha ni kiama..unaambiwa 300million!

It is too much. Lakini again, hela ilikuwa ya wizi wizi kwa hiyo hakuna mwenye uchungu nayo. Ngoja uone sasa hivi zile 10% baada ya kupotea kama watu hawatashika adabu...
 
Mwenye ela aje kwamrefu nimuuzie plot mm sijui mambo square miters
Zangu ni miguu 20+30 ziko 4 bei ml 20 kwa plot mita 450 toka barabara ya moshi arusha
 
Pesa mtaani, imekuwa ngumu sana, mpaka kufikia 2025 tutakuwa tumenyooka kisawa sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom