For R&B lovers let's kick it

Tangiapo R&B za zamani naweza sema ndio nzuri zaidi na ndio maana hata playlist yangu yote ni za zamani!..
Ni kweli kwa sababu in 1990's kwa 2000's ndio ilikuwa Era ya RnB kwa hiyo wasanii wengi wakali walitoa best RnB songs. Ila kwa hao niliowataja naona ndio wanapambania RnB ya sasa
 
Msije mkafikiria Bongo hakuna R&B zipo nazo nitakuwa naziweka!..
Naanza na huyu bibie grace matata
Your browser is not able to play this audio.
 
Aisee mkuu umeniwahi , tangu jumatano nilikuwa nafikiria kufungua uzi ambao nitakuwa nashare nyimbo kali za RNB๐Ÿ™ŒโœŠ
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250518-121459_1.jpg
    148.2 KB · Views: 10
Kwa era hii

1. SZA - Snooze
2. H. E. R - Damage
3. Giveon - lie again
4. Khalid - location
5. Muni Long - hours and Hours & made for me
6. Silk Sonic - Leave the door open
7. Ella mai - Trip

Wengine mtaongezea za sasa maana za zamani zipo kibao
 

Attachments

  • Screenshot_20250518-121459_1.jpg
    148.2 KB · Views: 19

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ