Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,882
- 15,186
Wanafanya wanachotaka kwa kuwa wao ndio wapo wengi katika mchezo.huwa inatoka ratiba ya mwaka.. au miezi mitatu mbele... ila mchezo wa Rally ulikuwa unakuja kwa kasi..(msaada wa AZAM media umechangia sana kuvuta mashabiki wengi) ila WAHINDI wanaharibu kila kitu.... sisi wabongo tunabaki kuwa wapambe tu.. tukizidi sana.. tunakuwa NAVIGATORS,,,, at least kwa Arusha kule... wanajitahidi muamko ni mkubwa.. ila kwa overall perfmnce ya wazawa ni ndogo.. acha wakina PANDYA waamue wanavyotaka....
kibaya zaid.... DHARAU nyingi....
Poa mkuu, mwakani nitajitahidi nicheze Rally hata upande wa 2wd. Nikienda Uganda kule hata Corolla,Vits na Starlet nacheza.Aisee.. Npo maporini huku sina updates kabisa!! Nishazoea kuhudhuria Live.. Au kupata updates on whatsapp! Huku smartphone sijawasha nina miez miwili sasa.. 2subiri Wadau waje...
Offshore... Umezungumzia kuhusu kujitangaza.. Huu mchezo kwa Tanzania nafananisha na Golf!.. Kuna nadharia kuwa ni mchezo wa matajiri.. Jibu ni ndio na hapana kwa wakat mmoja.. Huu mchezo kama huna hela / bajeti nzuri.. Utapat changamoto.. Na watanzania wengi kipato chetu ni changamoto!
Huwez kwenda section ktk service park una tairi mbili tu! Na tairi sio za elf 30! Tairi zenye rally specs ni kipengele... Ukija shockups/coilovers.. Mambo ni mengi.. Kikubwa ni kushow up talent ... Wahindi wakikuona huenda ukadhaminiwa hata Gari..
Ila hapana.. WATANZANIA hatujitumi! Mcheki Tufail.. Alipata ushndi.. Kwa kutumia ile old gc8! Ambayo kwa Mtanzania wa kipato cha kawaida anaweza kuimudu ... Tujitume
Tuombe Mungu,mie nitakuwa pembeni hapo... (Nav) O+
ila anza kubuild mapema project car..
Nitatoa mchanganuo wa setup and framework ya Rally car!
Kuna wadau kama wawili walikubali kunipa gari zao nicheze nazo, wao umri umeenda ila ni wapenzi wa rally.Tuombe Mungu,mie nitakuwa pembeni hapo... (Nav) O+
ila anza kubuild mapema project car..
Nitatoa mchanganuo wa setup and framework ya Rally car!
Kuna Nissan Laurel (RB26DETT) na Starlet Glanza.Project car yako unafaikiria iwe ipi boss?
Hii project yako ni hatari sana. Ukiingia kwenye rally wewe lazima usumbue sana maana maandalizi na ubora wa gari ni mkubwa.MR mng'ato..
Mie nikibuild project car hasa kwa rally specs.. Ntatumia bajet kubwa sana.. Ngj nichambue kwa ujumla.. TECHnically
>ROLL cage
>racing seats
>Racing belts "TAKATA"
>ENGINE.. Ntatumid Toyota based.. Only 1jzgte racing ECU na Meth water addition (hapa ntatumia Drag race specs ili kupata hp kubwa na torque)
>MIGUUNI ntatumia offroadic coilovers and suspensions.. As well tairi na rims ziwe ni za rally specs moja niliuliza nikaambiwa 1m.. So nne 4m.. Bdo za akiba na za service park almst niwe na bajet ya mil 8 ktk tair tu.
Navigation panel with Gps.
Vitu vng sana ntaweka.. Pia nitadeal na usalama wangu hvyo nitabalance weight nzr..
Gari napendekeza.... Iwe yeyote tu ila 4wd.. Au Rwd..
Kwa upande wa Glanza i thnk almst ni Fwd.. Itasumbua ktk kona.
MR mng'ato..

Hahah bro.. Kuwa na gari iliyotimia haimaanish kuwa perfomance itakuw juu!!
Mfano kuna watu wana Evo x! Lakin Gc8 inabeba ushndi.. Hapa kuna ishu ya Udereva! Pia watu wanamsahau Navigator! Huyu anachangia kufaul au kufeli kwa driver..
Then hzo specs ni standard tu (za kuanzia)
kuna gari zinatoka kiwandani ni full rally spec!
Ile ford proto ya huwel ni rally spec car.. Imekuja kafanya kumwaga oil tu.!
Ile skoda Fabia ya Manvir! Pia mulemule..
I wish nipate skoda au proto! Maana kumiliki Yaris ni kimbembe thou proto ya huwel i thnk mil400 pale! Ile skoda ya manvir 1BIL!
watu wamewekeza..
Kuna Nissan Laurel (RB26DETT) na Starlet Glanza.
Mkuu sio gari yangu nitashiriki kwa kutumia gari za wadau waliokubali kunipa gari zao nichezee.
Rally ya kucheza bila mazoezi, hii ukicheza unakuwa umeshiriki kama mpenzi wa rally.j
Nissan Laurel nadhani watu hawakuipenda ule muonekano.Daah safi sana mkuu,afu sijui ni kwanini Nissan Laurel RB25DET hazijawahi kua popular kiaina hapa bongo compared tu JZX100,wkt Laurel ni chuma fresh sana tu na ma-mbio iko fresh tu.