hiyo e-mail address yako inanipa shaka sana kama wewe ni mwanaume kweli.....ebu nenda facebook halafu ufanye link na hapa ndio angalau utafanikiwa otherwise fanya kazi wacha biashara ya kutaka kulelewa pumbafyuuu:hand:Habari za Muda huu wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuweka post humu ila mie ni member wa Jf. Kilichonituma kuweka post humu ni hiki. Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 24+. Natafuta mchumba au mpenzi wa kudumu naye,ambaye yupo tayari kuwa na mimi forever. Nilikuwa nasoma ila masuala ya uchumi ndo yamenifanya niishie hapo nilipoishia. So kama kuna mwanamke/binti ambaye yuko tayari kunisaidia kwa hili and then at last tukawa couple ntajiona mwenye bahati. Sina vigezo mimi,awe anizidi umri,awe mwathirika wa Ukimwi n.k. Whatever,coz hiyo ni kazi ya mungu. Napenda nieleweke kuwa plz niko serious. Simjaribu mtu. Aliye tayari naomba ani PM au e-mail ni Sweetrwabu@gmail.com baada ya kumpata huyo ninayemwitaji nadhani ndo atanielewa zaidi kwa full story nitayompa. Asanteni.
hiyo e-mail address yako inanipa shaka sana kama wewe ni mwanaume kweli.....ebu nenda facebook halafu ufanye link na hapa ndio angalau utafanikiwa otherwise fanya kazi wacha biashara ya kutaka kulelewa pumbafyuuu:hand:
Duh! Watu8 we mkali aisee.
mbona tutajiju mwaka huu.kweli maisha magumu .tunatafutana humu dunianiMmmh tutaendelea kweli na speed hii, kila mtu ataka kulelewa......shuwaini, Jamani mimi pia natafuta kibabu chenye pesa kinileee
Habari za Muda huu wana JF, ni mara yangu ya kwanza kuweka post humu ila mie ni member wa Jf. Kilichonituma kuweka post humu ni hiki. Mimi ni kijana wa kiume niliyezaliwa miaka 24+. Natafuta mchumba au mpenzi wa kudumu naye,ambaye yupo tayari kuwa na mimi forever. Nilikuwa nasoma ila masuala ya uchumi ndo yamenifanya niishie hapo nilipoishia. So kama kuna mwanamke/binti ambaye yuko tayari kunisaidia kwa hili and then at last tukawa couple ntajiona mwenye bahati. Sina vigezo mimi,awe anizidi umri,awe mwathirika wa Ukimwi n.k. Whatever,coz hiyo ni kazi ya mungu. Napenda nieleweke kuwa plz niko serious. Simjaribu mtu. Aliye tayari naomba ani PM au e-mail ni Sweetrwabu@gmail.com baada ya kumpata huyo ninayemwitaji nadhani ndo atanielewa zaidi kwa full story nitayompa. Asanteni.