Kudadadek nimegundua nyie watu wa IT mnafaidi sana hasa kwenye haya mautundu, sasa na mimi naenda Horizon napiga hata kimtindo, na mimi nataka niyajue haya madude, inakuwaje kila siku mnafaidi nyie tu? Haiwezekani, subir nimtafute Crashwise,nahangaika kugoogle ili nijue hayo ma Proxy lakini naishia kulala saa saba usiku halafu sijaambulia kitu.