kama unatumia computer, katika hiyo post yako chini upande wa kulia palipo na na maneno [Edit post | Reply Reply | With Quote]
Bofya kitufe cha Edit, moja kwa moja utapelekwa kwenye dirisha linalotumika kuandika post. Ukifika katika dirisha hilo vilevile chini upande wa kulia utaona kitufe chenye kukupa fursa ya kufuta kina neno "Delete". Bofya hapo kuondoa post yako.