unaingia kwenye thread husika... ukishaingia pale juu kulia ukutani kuna vidots vitatu...utatouch hapo...utatouch hapo kwenye COPY URL... itakuambia " Thread URL has been copied to Clipboard successfully"... (Yaani hapo utakuwa umeshacopy hiyo link ya hiyo thread)
Ukishamaliza hapo wewe nenda kwenye Thread nyingine then Paste halafu send(Reply)
Hiyo option ipo unafanya hivi yaani hapo unapotaka kuandikia kwenye huo mstari unaocheza cheza unapotaka kuandika | ..... hold kwa sekunde kadhaa..juu yake litatokea neno Paste utapaste
Hiyo option ipo unafanya hivi yaani hapo unapotaka kuandikia kwenye huo mstari unaocheza cheza unapotaka kuandika | ..... hold kwa sekunde kadhaa..juu yake litatokea neno Paste utapaste