Inawezekana ikawa kuna option ya ku-remember this password & username ngoja tuwaulize hawa wahusika hapa tunaomba mtueleze hili suala mkuu Invisible, Moderator, Mhariri.
Tusubirie majibu kutoka kwao tujue kama kuna hiyo option au ni lazma unatakiwa u-log in kila unapoingia JF kupitia app yao kwa sasa.
Kwenye simu yako si unaona wameandika jukwa la siasa, jukwaa la habari na hoja mchanganyiko n.k unaziona hizo forums/jukwaa...?.
Unaingia kwenye jukwaa husika inategemea unataka kuanzisha thread inayohusu kitu gani then unaingia kwenye husika sjajua kama unatumia browser mf opera nk.
Kuna sehem utaona pameandikwa New Topic click hapo. Itakuja sehem ya kuandika kichwa cha habari utaweka hapo kichwa habari halaf chini utaweka habari unayotaka kuipost baada ya hapo unaituma unakuwa umemaliza.