Ukienda kwenye hii msg yako kama unataka ku-edit, kuna sehem pameandikwa "Delete". Click hapo utakuwa umeifuta hii msg yako.
Sasa ukipitia hiyo thread ndio utaona kuwa pameandikwa hivyo ulivyotaka paandikwe kama hivi mkuu...
"This message sjui ni was sjui has been deleted by
@kunguni wa ulaya".
That's That.