For JamiiForums Mobile users

RGforever sorry nilikuwa nafanya mazoezi sasa nataka niondoe mstari nafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Swali. Hapo awali nilikuwa napata notifications, kwa mfano, mtu akinukuu post yangu, siku hizi notifications hizi sizipati, au naweza kuona zimetumwa lakini hazipo katika notification box. Nimeona hili kwenye tablets na simu kadhaa za Android. Imekuwaje?

Is this related to an Android upgrade?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…