hata na mimi nashangaa ndugu yangu!Kwanza mimi kuweka hizo code kichwani ni ngumu sana kutokana na urahisi na maisha bora niliyo nayo kwa familia yangu je? Code hizo nitazihifadhi kichwani kweli?
Inafurahisha sana! Kuna wana JF hapa baada ya dakika chache za kunyonya darasa, tayari wameishakuwa waalimu wa wenzao zaidi ya mleta Thread! ANIMO ET FIDE.
Du RGForeverkiboko ubarikiwe tuongeze na :bathbaby: font bado ni ndogo sana na italic :doh: :wink: :coffee: nakupa :mwaaah: katika fani hii :israel: :ioi: :tongue: :ranger: na hi chukua :wink2:
Du RGForeverkiboko ubarikiwe tuongeze na :bathbaby: font bado ni ndogo sana na italic :doh: :wink: :coffee: nakupa :mwaaah: katika fani hii :israel: :ioi: :tongue: :ranger: na hi chukua :wink2: