mbonainagoma[\color]
jamani yote tisa kumi bado sijajua jinsi ya kuweka picha au link ila mengine nashkuru nimejifunza hapa hapa
Uko wapi nije nikuelekeze sasa hivi
niko hapa na pc nyuma ya keyboard
Namalizia kuandaa tutorial special kwa ajili yako. Soon utajua jinsi ya ku attach pictures......
[COLOUR=red]najaribu rangi sasa[colour]