AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KUFUTA FOLDER & FILE MOJA KWA MOJA (PERMANENT)
Na'am, Hakika Mambo Yalivyo, Ukiwa Unafuta Folder Au File Kwa Ku delete Kama Wajua Wengi Katika Watu, Huwa Akifutiki Moja Kwa Moja, Yaani Utakikita Kwenye RECYCLE BIN.
In shaa Allaah, Leo tutajifunza Jinsi Ya Kufuta Moja Kwa Moja kwa Maana Ya Kutolikuta Kwenye RECYCLE BIN.
Hii Itakupunguzia Mizigo Ya Kufuta Mara Mbili Mbili, Kwa Maana Ya Kufuta Kawaida Na Kufuta Kwenye Recycle Bin.
Twende Kaziiiii
1. Click Mara Moja Juu Ya Hilo Folder/File.
2, Bofya Shift + Del
3.Bofya YES.
Hivyo Basi Hapo Utakuwa Umefuta Kawaida Na Kwenye Recycle Bin
NB; Uwezekano Wa Kurudisha Utakuwepo Endapo Utatumie Program za ku recover.
Ukipenda Unaweza Ukacheki Video Hapo Chini